Mix

Kwa kosa la kutupa unga vichakani, Mahakama yawahukumu miaka 5 jela…

on

HandcuffsJeshi la Polisi katika jitihada za kupambana na madawa ya kulevya, limewakamata watu wawili waliokuwa katika gari baada ya kutupa dawa za kulevya vichakani zenye thamani Paundi 230,000.

Watuhumiwa hao walikamatwa baada ya kurekodiwa na kamera ya video iliyofungwa kwenye gari ya Polisi ikionyesha jamaa hao wanavyotupa mzigo huo vichakani.

Duch
Jamaa hao Kabbar na Duckworth wamehukumiwa kifungo cha miaka 5 kila mmoja kwa kosa la kukutwa na kifurushi cha Heroin, na kosa la kundesha gari kwa kasi.
Watuhumiwa hao wamekutwa na makosa hayo wakiwa njiani kutoka Rochdale, Manchester kuelekea Birmingharm, Uingereza.

Polisi II
PolisiNitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments