Katika kuhakikisha matukio ya ajali yanapungua nchini Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Fortunatus Muslim amewaagiza Askari wa Usalama Barabarani kusimamia vyema na kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika ikiwemo kufungia leseni zao.
Kamanda Muslim ameyasema hayo akiwa Mkoani Kigoma akitokea Mkoani Iringa katika ajali iliyosababisha vifo vya Watalaamu kutoka TARURA na kueleza kuwa matukio ya ajali yamekuwa yakipoteza nguvu kazi ya Taifa na kuwataka Askari kutofumbia macho na kufanya kazi kwa weledi dhidi ya makosa mbalimbali ya Usalama Barabarani.
RC NA KAMANDA WAKESHA WAKIHESABU MADINI YALIYOKAMATWA NA MBWA YA BILIONI KASORO