Video Mpya

VideoMPYA: Kuna hii mpya kutoka kwa Baraka The Prince ‘Mawazo’

on

Muimbaji wa Bongo fleva Baraka the Prince anakualika shabiki yake kuitazama video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Mawazo’, karibu kuitazama video hiyo kwa kubonyeza PLAY  hapa chini kisha usisahau ku-drop komenti yako hapo chini.

MBASHA: “Kwa Mungu Flora bado ni Mke wangu, Mtoto aliyemzaa ni mwanangu pia”

EXCLUSIVE: Aliyoyazungumza msanii Ibranation kuhusu muziki wake

Soma na hizi

Tupia Comments