Kisiwa cha Sentinel Kaskazini kilichoko katika Bahari ya Hindi nchini India kinatajwa kuwa kisiwa hatari kuliko vyote duniani kiasi cha serikali ya India kufanya kuwa ni kosa la kisheria mtu yoyote kuwa karibu na kisiwa hicho kwa umbali wa Maili 3.
Inasemekana kwamba kwenye kisiwa hicho wanaishi watu na viumbe wanaotisha na hawawezi kuchangamana na binadamu wa kawaida kwani huweza kuwadhuru na inaaminika kuwa wameishi kwenye kisiwa hicho kwa miaka zaidi ya 60, 000.
Kisiwa hicho kimezungukwa na msitu mkubwa na kinakisiwa kuwa na viumbe kati ya 50 hadi 400 na imekua vigumu watu kufanya utafiti zaidi kwenye kisiwa hicho na kupata taarifa nyingi kwa sababu ya mazingira hayo ambayo yanaogopesha.
Uliiona hii? Kutoka Jeshi la polisi kanda maalumu Dar es salaam leo