Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hiki ndicho kisiwa kinachotisha kuliko vyote duniani
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Hiki ndicho kisiwa kinachotisha kuliko vyote duniani
Top Stories

Hiki ndicho kisiwa kinachotisha kuliko vyote duniani

October 14, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Kisiwa cha Sentinel Kaskazini kilichoko katika Bahari ya Hindi nchini India kinatajwa kuwa kisiwa hatari kuliko vyote duniani kiasi cha serikali ya India kufanya kuwa ni kosa la kisheria mtu yoyote kuwa karibu na kisiwa hicho kwa umbali wa Maili 3.

Inasemekana kwamba kwenye kisiwa hicho wanaishi watu na viumbe wanaotisha na hawawezi kuchangamana na binadamu wa kawaida kwani huweza kuwadhuru na inaaminika kuwa wameishi kwenye kisiwa hicho kwa miaka zaidi ya 60, 000.

Kisiwa hicho kimezungukwa na msitu mkubwa na kinakisiwa kuwa na viumbe kati ya 50 hadi 400 na imekua vigumu watu kufanya utafiti zaidi kwenye kisiwa hicho na kupata taarifa nyingi kwa sababu ya mazingira hayo ambayo yanaogopesha.

Uliiona hii? Kutoka Jeshi la polisi kanda maalumu Dar es salaam leo

You Might Also Like

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao

Magaya, Gwajima, Waziri Mkenda wasaka dawa dhidi ya Ukatili

Alichokifanya Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa, Ulega afunguka “Ametoa kwa Yatima”

TAGGED: habari daily, TZA HABARI, utafiti
Admin October 14, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Utafiti: Vitu 3 vitakavyoifanya Afrika iilishe dunia nzima ifikapo 2050
Next Article LIVE: Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Uwanja wa Amaan Zanzibar
- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?