Mix

VIDEO: Jionee ulipofikia ujenzi wa jengo jipya la kisasa la abiria Airport Dar ( Terminal 3)

on

Mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ( TERMINAL 3) unaendelea ambapo Serikali imesema jengo hilo litakamilika ifikapo December 2017 na ni jengo litakalokua na uwezo wa kuhudumia Abiria milion 6 kwa mwaka.

Kwenye hii video hapa chini utajionea sehemu ya uwanja huo pamoja na vitu vyote muhimu unavyotakiwa kufahamu kwa sasa

ULIPITWA? Kujionea Daraja la Kigamboni lililojengwa juu ya bahari? bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments