Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2016 Tanzania yametangazwa leo January 31 2017 na baraza la mitihani NECTA ambapo Mwanafunzi wa kwanza kufaulu zaidi kitaifa ametokea kwenye shule ya Feza Dar es salaam na anaitwa Alfred Shauri, tazama hii video hapa chini uone alivyoongea na kupokelewa shuleni kwao.
VIDEO: Tazama Mabehewa ya Treni iliyoanguka Ruvu juzi yalivyosogezwa na tazama pia Treni nyingine ya abiria ilivyopita eneo la ajali baada ya reli kutengenezwa.