February 6 2017 kituo kikuu cha polisi DSM kamishna kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro na mkuu wa mkoa Paul Makonda walisimama mbele ya Waandishi wa habari na kusema amesema mpaka sasa ni wangapi wamekamatwa na Makonda kuyasema maagizo yake matatu, tazama kwenye hii video hapa chini