AyoTV

VIDEO: Diamond kaitwa tena Marekani ila hatoisahau hii ya Minneapolis

on

Kwa mara ya tano mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz amerudi Marekani mwaka huu wa 2016 na kufanya shows kwenye miji mbalimbali ambapo show nyingine atakayoonekana soon ni ya September 2 Los Angeles JW Marriott.

Sio kila show mashabiki wanakua na ukaribu wa kukutana nae maana maeneo kunakofanyikia show yanatofautiana ambapo kwenye show ya Minneapolis July, Diamond alipelekwa VIP kukaa baada ya kumaliza show lakini ikashindikana kabisa kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments