Top Stories

Utafiti: Kuhusu ongezeko la watoto wenye uzito wa kupitiliza duniani

on

Utafiti mpya Uingereza unaonesha ongezeko kubwa la watoto na vijana walio na uzito mkubwa sana duniani ambapo kwa sasa wapo watoto milioni 124 wenye tatizo hili kote duniani.

Kulingana na jarida la Lancest idadi hiyo inatajwa kuwa kubwa zaidi na ya aina yake na inaangazia visa vya unene wa mwili kwa zaidi ya nchi 200.

Katika utafiti huo imeelezwa kuwa nchini Uingereza pekee moja kati ya vijana 10 walio kati ya umri wa miaka 5 na 19 wako na unene mkubwa wa mwili.

Ulipitwa na hii? YALIYOMKUTA MWALIMU ALIYETEMBEA NA MWANAFUNZI WAKE ROMBO

Soma na hizi

Tupia Comments