Habari za Mastaa

VIDEO: Irene Uwoya adai aliyempakata ndani ya Treni ni mrithi wa Dogo Janja

on

Siku ya February 7, 2018 mastaa walipata nafasi ya kutembelea ujenzi wa reli mpya kwaajili ya treni ya kisasa ya Standard Gauge ambapo baadhi ya mastaa hao ni pamoja na Irene Uwoya ambaye alihojiwa na AyoTV na millardayo.com na haya yalikuwa majibu yake kuhusu mrithi wa Dogo Janja aliyempata ndani ya treni.

EXCLUSIVE: Ommy Dimpoz awakosesha usingizi Paul Makonda na Mke wake

Soma na hizi

Tupia Comments