Duniani

Cheki michezo ya waarabu wa Dubai na magari yao barabarani… (+Video)

on

Unaweza ukakutana na pichaz ukajua labda ni utani watu wametengeneza… au unaweza kuhisi labda ni wataalam wa movie wamefanya mambo yao ya computer !!

Hizi video niliwahi kusogeza mojawapo hapahapa on millardayo.com miezi kadhaa hivi iliyopita, leo nakukumbushia tena mtu wangu !! Unaambiwa kwenye michezo ya waarabu wa Dubai iko na hii ya kutembeza gari kwa ubavu ubavu… gari iinatembea kwa tairi mbili tu yani mwanzo mwisho !!

Video nyingine hii hapa mtu wangu…

https://www.youtube.com/watch?v=HzLhjoNxc5A

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments