Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Ni kweli Dubai wana majengo mazuri ya kuvutia, wanazo na hizi Beach zao nzurinzuri… (Pichaz)

on

DUBAI BEACH

Dubai ni moja ya nchi zinazoongoza kwa kuwa na majengo yenye kuvutia zaidi duniani… lakini mbali na majengo pia nchi hiyo ina vivutio vingine ambavyo kama ukipata nafasi ya kutembelea unaweza kuvutiwa zaidi na Nchi hiyo.

Hapa kuna hizi beach 10 ambazo hutajuta kuzitembelea unapokua Dubai:-

PALM DUBAI

Palm Beach

DUBA

Muonekano wa Yatch Beach kwa juu.

DUBAI BEACH

Seyahi Beach

DUBAR WHITE

Meydan Beach

DUBAI LIFE

Watu wa nguvu wamejiachia, wanateleza tuu !!

DUBAI2

Jumeirah Beach

JEBEL DUBAI

Jebel Beach

JBR

JBR Beach

indoor beach

Hii ni Beach ya aina yake, iko ndani kabisa ya jengo mtu wangu.. Indoor beach

ATLANTIS DUBAI

Atlantis Beach

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments