Miji/Nchi

Dubai kwenye mpango mpya utakaovunja rekodi ya dunia

on

Dubai ni mji ambao kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, Dubai  umekua kwa haraka zaidi kutokana na kuweka vizuri njia za ukusanyaji wa mapato na ni mfano ya mji ambao Uongozi wake unafanya kazi kwa kuwa baada ya miaka 25 macho ya Dunia nzima yamehamia Dubai.

Dubai wameelezea mipango yao zaidi kwenye mji huo ambapo maeneo ya makazi mapya, Dubai Creek Harbour yatauzunguka mjengo mrefu ambao bado haujapatiwa jina lakini nickname yake ni ‘the needle‘. Mjengo huo utakuwa mrefu kuzidi uliopo wa Burj Khalifa  wenye 2,717 ft na umepangwa kujengwa 2020.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIIKOSA YA WABOGOJO KUHUSU JACKIE CLIFF GEREZANI  CHINA, MAISHA YAKE NA MENGINE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments