Breaking News

BREAKING: Zitto Kabwe aachiwa, akamatwa tena na Polisi.. ACT yaongea

on

Saa chache baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kukamatwa na Jeshi la Polisi  na kupelekwa katika kituo cha polisi cha Chang’ombe Dar es salaam, aliachiwa kwa dhamana lakini amekamatwa tena na kupelekwa kituo cha Polisi cha Kamata kwa ajili ya mahojiano zaidi.

Katibu na itikadi na uenezi wa ACT WAZALENDO amesema “baada ya kukamatwa tena amepelekwa kwenye kituo cha Polisi Kamata, hatufahamu ni sababu gani zilizofanya akakamatwa tena, tuna tafsiri kama Chama mwenendo wa sasa wa kumshughulikia Zitto ni kujaribu kumnyamazisha

Tazama zaidi kauli ya ACT hapa chini kwenye hii video……

VIDEO: Serikali yamjibu Zitto Kabwe kuhusu ukuaji wa uchumi Tanzania… tazama hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments