Top Stories

Maajabu: Duka lisilo na mlango na hakuna aliyethubutu kuiba toka lifunguliwe (+video)

on

Unaambiwa tembea uone au tulia Millard Ayo akusogezee… leo nakusogezea mahojiano na Amimu Hassan, kijana wa Kitanzania hapa Nalingu Mtwara ambae hajaweka mlango wowote kwenye duka lake sio wa mbao wala wa chuma tangu January 2020 alipofungua hilo duka mpaka leo na hajawahi hata kudokolewa kiberiti, najua utakua na maswali mengi sana baada ya kusoma hayo maelezo ya utangulizi, bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

HII SASA NDIO HISTORIA YA BILIONEA LAIZER, MSOTO WA MIAKA 10, WAKE WANNE, WATOTO 30, NYUMBA 4

Soma na hizi

Tupia Comments