Video Mpya

VideoMPYA: Ni Dully Sykes Mabibi na Mabwana… katuletea video mpya inaitwa “Bombadier”

on

Tunae tena Mkongwe wa Bongofleva Dully Sykes…. kaleta hii ngoma nyingine mpya inaitwa Bombadier ambayo production imesimamiwa na Producer T Touch

DR. CHENI KAFUNGUKA: “NAAMINI LULU HAJATENDA” MTAZAME ZAIDI HAPA CHINI

VIDEO: MSAMI AFUNGUKA: KUKUTANA NA NDIKUMANA “NILIFANYA MAKOSA KUWA MPENZI WA IRENE UWOYA” MTAZAME ZAIDI HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments