Habari za Mastaa

Majibu ya Dully Sykes kuhusu kutomfollow mtu yoyote kwenye instagram

on

.

.

Msanii wa muziki, Dully Sykes amechukua uamuzi mgumu kama uliofanywa na msanii mwenzake Ali Kiba kwa kuto  kumfollow mtu yoyote kwenye akaunti yake ya instagram.

Dully ambaye akaunti yake imefikisha followers 158K amezungumza na millardayo.com na kusema...’Mara nyingine utakuwa labda nina wafollow mastaa wenzangu au mtu yoyote hao hao utakuta kuna wakati wanapost vitu vinavyonikera mimi hiyo ndio sababu kwa hiyo nitaanza ku follow media mbalimbali kama CNN, MTV na media zingine zote nitazi follow ili niwe napata habari tofauti lakini sio kumfollow msanii mwenzangu au kumfollow mtu  ambaye  najua anayejihusisha na hivyo vitu mwisho wa siku aje kunipandisha pressure‘ – Dully Sykes

.

.

Mimi pia nitukanwa ni kati ya watu ambao wanaotukanwa japo situkanwa sana  kama hivyo unavyofikiri lakini sasa ninavyotukanwa ninakuwa naambiwa kuwa kuna watu hivi na hivi wamenitukana kwa hiyo bora nisikie kuliko kuona kwa macho’ – Dully Sykes.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie

 

Tupia Comments