Michezo

Wanamichezo 10 wanaoingiza pesa nyingi kupitia mitandao ya kijamii

By

on

Inawezekana una akaunti yako ya Instagram, Facebook au Twitter lakini ushafikiria kama inaweza kuwa chanzo za pesa nyingi sana kama utaitumia vizuri? sasa ninayo hii ya jarida la Forbes limeitaja list ya mastaa wa michezo mbalimbali duniani ambao kupitia mitando ya kijamii wamekuwa wakiingiza pesa nyingi.

Pesa hizo ni zile ambazo zinatokana na matangazo ya biashara ambayo watu wanaowafatilia mastaa hao wamekuwa wakikutana nayo mitandaoni.

Star wa soka Cristiano Ronaldo anashika nafasi ya kwanza duniani kwa mastaa wanaoingiza pesa nyingi kutokana na umaarufu wao, hapa nimekukusanyia taarifa za mastaa hao 10.

VIDEO: ALL GOALS: Gor Mahia vs AFC Leopards June 11, 2017 Full Time. Tazama hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments