Habari za Mastaa

Kwenye midundo mipya ya Afrika, hii video mpya ya Gboza imo pia na Davido ndani.

on

mdundoKila siku vituo vya redio na TV Afrika vinapokea mamia ya kazi mpya kutoka kwenye midundo ya Afrika ambapo wiki hii hii ya R2Bees – Gboza ft. Davido ni moja ya video mpya zinazochezwa kwenye TV mbalimbali.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments