Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Davido katua Congo Brazaville… huyu shabiki kamshangaza mpaka ikabidi ampost
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > VIDEO: Davido katua Congo Brazaville… huyu shabiki kamshangaza mpaka ikabidi ampost
Habari za Mastaa

VIDEO: Davido katua Congo Brazaville… huyu shabiki kamshangaza mpaka ikabidi ampost

April 3, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Uwepo wa mashabiki kwenye sanaa ya staa yeyote ni kitu ambacho tumezoea kukiona ila kuna ule ushabiki wa damu mpaka mtu analia kwa kutoamini kama amekutana na staa anayemkubali ambaye amekua akimuona tu kwenye TV na kusikiliza nyimbo zake.

Imetokea kwa mwimbaji wa Nigeria Davido wakati alipotua Congo Brazaville kwa ndege binafsi akakutana na shabiki anaeonekana kuwa muhudumu wa Hoteli ambaye aliangua kilio sio mchezo baada ya kumuona Davido, kwenye hizi video hapa chini Davido anaonekana akimbembeleza.

FAN LUV BRAZZAVILLE!!!?????

A video posted by Davido Adeleke (@davidoofficial) on Apr 2, 2016 at 11:56am PDT

.

CRAZY WHAT MUSIC CAN DO TO PPLE!! FAN LUV CONGO!!

A video posted by Davido Adeleke (@davidoofficial) on Apr 2, 2016 at 11:56am PDT

ULIKOSA KUONA SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ LAS VEGAS MAREKANI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: Africa, davido ayotv
Millard Ayo April 3, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Baada ya oparesheni 13 Millen Magese anapanga kuondoa kizazi, ushauri wa kwenda kwa TB Joshua je?
Next Article VIDEO: Mchekeshaji Erick Omondi anasema na Wanaume wavaa suti mbele ya Warembo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?