Videos

VideoMPYA: Msanii kutoka Marekani kaimba wimbo ft Juicy J unaitwa ‘Zanzibar’

on

Tanzania bado ipo kwenye headlines kutokana na kuwa na vivutio vyake vya Utalii, Zanzibar ni moja kati ya sehemu za Tanzania zinazojulikana sana duniani kutokana na historia yake, msanii wa Marekani Belly kaimba wimbo ft Juicy J na kuuita Zanzibar, tazama hii video hapa chini uwe na miaka 18+

Pamoja na kuitaja Zanzibar video yenyewe haijaonyesha hata picha moja ya Zanzibar, itazame hapa chini

KAMA ULIIKOSA HII YA SNURA KUZUNGUMZIA VIDEO YAKE YA CHURA KUFUNGIWA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments