AyoTV

VIDEO: Kipisi cha show ya Diamond Las Vegas Marekani iliyojaa mpaka 500 wakakosa nafasi ya kuingia

on

Promota wa show hii DMK Global kwa kushirikiana na Break Point entertainment, Safari entertainment na J&P entertainment amesema kwenye maisha yake ya kuandaa show kama hizi nchini Marekani, hakuna msanii wa Afrika amewahi kuivunja rekodi aliyoiweka Diamond kwenye show ndani ya mji wa Las Vegas…. unaweza kutazama hii video hapa chini kuona sehemu tu ya show yenyewe.

 ULIZIKOSA STORI ZA INSTAGRAM ZA RAMMY NA MASOGANGE? V MONEY NA WENGINE? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments