AyoTV

VIDEO: Jionee party ya Wema Sepetu, Idris, Bella na watu wao Dsm

on

Usiku wa July 10 2016 mastaa wa bongo Wema Sepetu, Idris Sultan na Christian Bella waliungana na watu wao Dar es salaam kwenye party hii ambayo ilitangazwa kwa siku kadhaa ambapo AyoTV ilikuwa karibu kuyanasa matukio yote kwenye hii video hapa chini.

ULIIKOSA YALIYOZUNGUMZWA NA WEMA SEPRTU MIAKA MIWILI ILIYOPITA KUHUSU MAMA YAKE DIAMOND  

Soma na hizi

Tupia Comments