AyoTV

VIDEO: Vodacom WASAFI Beach party ufukweni Dar es salaam

on

December 24 Dar es salaam WASAFI walifanya party yao ufukweni mwa bahari ya hindi na upendo ukanogeshwa na mastaa mbalimbali wakiwemo Shilole, Chege, Navy Kenzo ukiachia WCB wenyewe ambao ni Diamond Platnumz, Rayvanny, Harmonize na Rich Mavoko.

Kwenye hii video hapa chini AyoTV imekuchukulia matukio mbalimbali kwa ufupi

VIDEO: Kwanini Diamond Platnumz hataki kushika simu ya mpenzi wake? bonyeza play kwenye hii video hapa chini usikie alichosema

Soma na hizi

Tupia Comments