Ad

AyoTV

VIDEO: Waziri Mwakyembe na Nay wa Mitego walivyokutana Dodoma

on

March 20, 2017 Staa wa Bongofleva Nay wa Mitego alifika katika ofisi za Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo zilizopo Dodoma kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Waziri Dr. Harrison Mwakyembe ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu msanii huyo kuachiwa huru.

Nay wa Mitego alikuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi Dar es Salaam kwa tuhuma za wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kutokuwa na maadili kisha baadae aliachiwa huru baada ya agizo la Rais Magufuli kupitia  Mwakyembe ambapo aliomba aonane na Nay wa Mitego ili kumshauri vitu vya kuongeza kwenye wimbo wake wa ‘WAPO’.

Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

VIDEO: Aliechora michoro ya Ikulu ya Tanzania kaeleza alivyopata deal hilo 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments