Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Polisi Dodoma limewakamata na kuwataja watuhumiwa wa dawa za kulevya
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Polisi Dodoma limewakamata na kuwataja watuhumiwa wa dawa za kulevya
AyoTV

VIDEO: Polisi Dodoma limewakamata na kuwataja watuhumiwa wa dawa za kulevya

March 1, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Headlines za dawa za kulevya bado zimeendelea katika maeneo mbalimbali nchini ambapo leo March 1 2017 Kamanda wa polisi Dodoma Lazaro Mambosasa amezungumza na waandishi wa habari na kutoa takwimu ya watuhumiwa waliokamatwa na kufikishwa mahakamani hadi sasa.

Mambosasa amesema…>>>’Katika operesheni ya kipindi cha miezi minne tangu October 2016 hadi January 2017 tumefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 88 kwa makosa ya kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya kama vile uuzaji, usafirishaji, usambazaji na ulimaji wa dawa hizo‘ –Lazaro Mambosasa

‘Aina ya dawa tulizofanikiwa kuzikamata ni pamoja na heroine, bangi na mirungi na tayari baadhi ya watuhumiwa wamefikishwa mahakamani na kesi zao zinaendelea huku wengine utaratibu ili kuwafikisha mahakamani‘ –Lazaro Mambosasa

‘Nawatahadharisha watu wote wenye nia ya kufanya uhalifu au kuja kufanya biashara haramu ya dawa za kulevya katika mkoa wa Dodoma waache mara moja kwani vita hii ni endelevu hakuna mhalifu atakayebaki salama kama akibainika‘ –Lazaro Mambosasa

Full stori ya Kamanda Lazaro Mambosasa na alivyoyataja majina ya watuhumiwa nimekuwekea kwenye hii video hapa chini…

VIDEO: Serikali yataja makosa matatu ya Watanzania waliofukuzwa Msumbiji 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

You Might Also Like

Serikali yaweka wazi kutotangaza shule bora

‘Ondoeni dhana ya rushwa Mahakamani’

Wanafunzi Sekondari 7,457, Msingi 1,554 wapata ujauzito

Dizeli, mafuta ya taa yashuka bei

Ndugulile aomba vivuko vibinafsishwe

TAGGED: Dodoma, habari daily, TZA HABARI
Admin March 1, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mambo 8 TWAWEZA wameyataja kuhusu upungufu wa chakula Tanzania
Next Article VIDEO: Zitto Kabwe kuhusu ripoti ya upungufu wa chakula Tanzania
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?