Michezo

Dybala na mpenzi wake waambukizwa corona

on

Staa wa Juventus ya Italia na timu ya taifa ya Argentina Paulo Dybala na mpenzi wake Oriana waambukizwa virusi vya corona ila wanaendelea vizuri.

Dybala anakuwa mchezaji wa tatu wa Juventus kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona baada ya Daniel Rugani na Blaise Matuidi.

Soma na hizi

Tupia Comments