Top Stories

PICHA 17: Wema Sepetu baada kufika nyumbani kwa Godbless Lema

By

on

Siku mbili baada ya Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini kuachiwa kwa dhamana, Leo Jumapili March 5, 2017 Muigizaji Wema Sepetu amemtembelea Mbunge huyo nyumbani kwake akiongozana na rafiki zake pamoja na mashabiki.

Ripota wako Godfrey TZA kutoka Arusha amekusogezea picha 17 kutokea nyumbani kwa Godbless Lema pamoja na video fupi kuonesha hali ilivyo nyumbani hapo.

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Mama Wema kuhusu simu ya Steve Nyerere na kuhamia CHADEMA? Tazama hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments