Mix

Diamond na Zari wamehojiwa LEO TENA ! kuhusu kumualika Wema, Ndoa na mengine

on

Leo February 9 kupitia kipindi cha LEO TENA kinachorushwa na CloudsFM  Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari walikuwa Mubashara kuzungumzia arobaini ya Mtoto wao Prince Nillan pamoja na hayo wameongelea mengine pia.

Zari na Diamond hawakuacha kujibu maswali yanayohusu Uhusiano wao kwenye mwezi huu wa Wapendanao, Zari aliyaongea mengi kuhusu Diamond na Diamond nae aliyaongea mengi kuhusu Zari.

“Hatujawahi kukaa tukazungumzia kuhusu ndoa siolewi sababu watu wanauliza lini mnaoana tutafanya hivyo tukipenda, mimi na Diamond hatuna mazoea ya kushikiana simu kila mtu na simu yake, mengine ni ya kawaida tu kwenye mahusiano hutokea”

Nimempa password yangu ya Instagram Diamond anaweza kuingia akaperuzi na kufanya chochote kile, mimi na mama Diamond hatuna tofauti zozote tupo fresh tu ni maneno ya watu kutoka nje tu kwamba tumegombana” – Zari

“Namuomba Mungu Wema sepetu amalize tatizo lake salama na yeye tumemualika kwenye shughuli ya Prince NIllan Jumamosi, itakuwa ni siku ya kipekee kabisa kuanzia asubuhi na watakaofika ni wale wenye kadi za mialiko tu” – Zari

“Niwashukuru sana watu wa Media za nyumbani kuhakikisha kazi zangu kunifikisha hapa nilipo sasa….sababu ya mimi kufanya kazi na Unostudios nilikuwa nataka kazi zangu zifike mahali ambayo sikuwahi kufika kabla…..Mke wangu Zari hajawahi kukutana na Wema kabla, sasa hivi tumekua hatuna tofauti” – Diamond Platnumz 

VIDEO: Tazama Diamond Platnumz akisema kwanini hataki hata siku moja kushika simu ya mpenzi wake? bonyeza play hapa chini

VIDEO: Dakika za Diamond Platnumz, Zari, Mama Mzazi na wengine kwenye tuzo za Channel O South Africa

VIDEO: Diamond Platnumz alivyomuita Zari kwenye stage ya White Party Mlimani City, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments