AyoTV

VIDEO: Wastara afunguka sababu za kupoteza fahamu kila mara

on

Mwigizaji staa wa BongoMovie Wastara Juma amerudi tena kwenye headlines mara hii akiwa kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV na millardayo.com ambapo kaeleza sababu za kuzimia kila mara.

“Ni ukweli mkubwa tu, yaani hapa nilipo ukinishika hapa nina mkanda, nimevaa kwa ajili ya kuzuia maumivu…nina tatizo la mgongo ambalo limekuwa linanisumbua tangu mwaka juzi kwenye Kampenzi ya CCM tulizunguka kwenye mikoa yote.

“Mwaka jana nikaenda India mwezi wa Pili na mwaka huu pia nilitakiwa nirudi mwezi wa Pili lakini bahati mbaya tarehe ya kurudi nilikuwa Sweden…nilivyokuwa Sweden nilikuwa nataembea umbali mrefu kidogo kwa ajili ya kufanya Film tofauti na hapa. Kwa hiyo inaniletea tatizo kama ule ugonjwa ambao ulikuwa umeshatulia kutokana na matibabu ambayo nilifanya Nairobi.” – Wastara Juma.

Cloud 112 baada miaka mitatu nje ya nchi kaja na hii Good News!!!!

 

Soma na hizi

Tupia Comments