Top Stories

Kijana aapa kutotumia Kivuko cha Mv. Nyerere maisha yake yote

on

Leo October 4, 2018 Tunaye Kijana Vedastus Maenga ni mmoja wa manusura wa ajali ya Kivuko cha Mv. Nyerere kilichoripotiwa kuuwa watu 229, ndani ya ziwa Victoria September 20, ameweka nadhiri kutopanda Kivuko hicho.

Mzee aliepokea Milioni 20 za Rais Magufuli “2020 mwambieni asihangaike akae tuli”

Soma na hizi

Tupia Comments