Mix

VIDEO:Dj Khaled katuonesha saa za gharama & cheni alizopewa na mastaa wakubwa

on

NI Headlines za Dj Khaled ambae hivi karibuni alifanya mahojiano na jarida maarufu liitwalo GQ huko New York nchini Marekani.

Sasa miongoni waliyonaswa katika mahojiano hayo ni kuhusu kuelezea saa zake za gharama pamoja na cheni za gharama alizopewa na mastaa akiwemo Drake, Jay Z 

Itazame hapa ujionee mbwembwe zake huku akielezea kuanzia Saa zake na gharama aliyonunua mpaka cheni alizopewa na mastaa hao

Soma na hizi

Tupia Comments