Habari za Mastaa

VIDEO: DJ Fetty kafunguka kurudi tena kutangaza

on

September 15 2015 mtangazaji wa zamani wa kituo cha radio cha Clouds FM DJ Fetty alitangaza kuacha kazi ya utangazaji na kuwaaga wafanyakazi wenzake akisema ameamua kupumzika na kuwa atakuwa akifanya biashara zake nyingine ambapo mpaka sasa ni mika minne imepita.

Sasa leo kupitia AyoTV na millardayo.com Fetty amefunguka kuhusu kurudi tena kwenye kazi yake hiyo ya utangazaji ambapo kasema 2019 haitasha tutamshuhudia akianza kutangaza tena. Je itakuwa radio au TV? na ni show gani?

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichojibu DJ FETTY.

EXCLUSIVE: AUNT EZEKIEL KAVUNJA UKIMYA AMEJIBU HAYA KUHUSU KUACHANA NA MOSE IYOBO

Soma na hizi

Tupia Comments