Top Stories

Picha 10 za siku ya kwanza kutoka ndani ya Bunge la Afrika Mashariki Arusha

on

Kikao cha Bunge la 11 kimeanza Dodoma leo January 26 2016, kama unafatilia matangazo ya Bunge kupitia TV au redio utakuwa umeshaona tayari kinachoendelea mtu wangu.

Lakini naomba nikufikishie nyingine kwamba kule Arusha, Bunge la Afrika Mashariki nako mambo yameanza toka jana.

Ripota wa millardayo.com alihudhuria jana ambapo ni siku ya kwanza ya Bunge hilo na hizi hapa picha za kwanzakwanza Wabunge hao wakianza na majukumu yao.

0e56b25f-d429-4476-818a-159e888e6d12 9fc19fbb-7b3b-4e30-a818-95f77bd23138 944652be-39a6-459a-83d0-89fd275c5303 b7ae9817-50b2-4e0a-82bf-5f305e71576f b96e7151-a534-49a3-8b96-7bae0da2286f b6950ec1-c0bf-496d-a32b-60c0ef47f208 bcb19bca-4935-4d18-b6be-1fdedfd6d9cd e7315e35-e2cf-4b68-9b1b-452dce1a8dc2 ed88d1fd-06a9-4c86-a01a-caabd0da49a4 on-air-sign

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments