Duniani

Wenye pesa zao ndio wanaweza kumiliki Basi kama hili lenye huduma kama nyumbani

on

Brand Pages-American Coach-American Eagle-Images-gal_AE_ext1

Pesa yake sio ndogo mpaka kulimiliki lakini ukiwa nalo ndio utaona faida zake, linaitwa RV likiwa ni basi ambalo ndani yake kuna vitu ambavyo vinapatikana kwenye nyumba za kuishi, ni zuri kutumika kwa wale wanaosafiri kwenye shughuli za kitalii au matembezi ya sehemu hadi sehemu, haihitaji ulale hotelini…. kila kitu unamalizia ndani manake kuna choo, bafu, jiko na hata chumba cha kulala.

Bus V

Hili Basi likipaki, unaweza kulifanya liwe na muonekano huu ili kuongezea ukubwa wa ndani, maisha yanaendelea.

tumblr_inline_nvlpnaw3rf1tdmu50_1280

Bus II

Hapo ni ndani ya chumba cha kulala, ni humohumo ndani ya Basi.

Bus III

Muonekano wa sebule ndio huu !!

Bus VII

Hizi ni mashine za kufulia nguo ndani ya basi.

   Bus VI Bus VIII Bus

Gharama ya kulipata hili Basi ni Dola 219,450 ambazo zinagusa mpaka Milioni  473za Kitanzania, unaweza kutazama hii video hapa chini uone inavyokua.

 

Tupia Comments