Habari za Mastaa

Ebitoke amvamia Mlela kwa fujo mbele ya Waandishi, amshambulia kwa matusi (+full video)

on

Mchekeshaji Ebitoke ameuvamia mkutano wa Mwigizaji Yusuph Mlela na Waandishi wa Habari Dar es salaam na kutaka kupigana na Mlela na Mpenzi wake mpya ambae alikua ameongozana nae kwenye mkutano huo na Waandishi wa Habari ikiwa ni siku chache tu toka Mlela adaiwe kumuacha Ebi, tazama hii video hapa chini imenasa tukio lote mpaka walipotoka nje

MUME KAENDA KAZINI, WIFE KALETA MCHEPUKO NYUMBANI…… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

MZEE ALIEJITENGENEZEA UMEME WAKE NJOMBE, KASAMBAZIA MAJIRANI, ELFU 5 KWA MWEZI,  BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments