Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Utaratibu huu umerudiwa tena Sierra Leone katika mapambano na Ebola..
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Stori Kubwa > Utaratibu huu umerudiwa tena Sierra Leone katika mapambano na Ebola..
Stori Kubwa

Utaratibu huu umerudiwa tena Sierra Leone katika mapambano na Ebola..

March 27, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

makaziSierra Leone ni nchi ambayo imepata athari kubwa zaidi kutokana na ugonjwa wa Ebola tangu ugonjwa huo ulipoanza zaidi ya mwaka mmoja sasa, athari yake sio kwa watu waliofariki ama kupata maambukizi ya Ebola pekeyake, imefikia hatua hata ya uchumi wa nchi hiyo kuwa kwenye hali mbaya, shule zimefungwa na vitu vingine vingi kusimama.

Hii sio mara ya kwanza Serikali kutoa agizo kama hili ambalo limetolewa la watu wote kukaa ndani kwa siku tatu kuanzia leo March 27 mpaka Jumapili March 29 ili wafanye ukaguzi wa nyumba hadi nyumba kujua kama kuna watu ambao wana dalili za ugonjwa huo waweze kuwapata na kusaidia watu wengine wasipate maambukizi hayo.

.
Hawa ni baadhi ya watu ambao wanafanya ukaguzi kwenye nyumba kama kuna watu wenye dalili za ugonjwa huo.
.
Hali ilivyo mitaani baada ya agizo lililotolewa na Serikali kuzuia watu wasitoke nje kwa siku tatu.

Siku ya Ijumaa zimetolewa saa mbili tu kwa waislamu kwenda kuswali, siku ya Jumapili pia zitatolewa saa tano kwa ajili wakristo kwenda kusali.

.
Mitaani kuna vizuizi kabisa ambavyo vimewekwa na askari wapo kuhakikisha hakuna watu wanazunguka.

Mataifa matatu ya Afrika Magharibi yalioathiriwa vibaya na Ebola ni Sierra Leone, Liberia pamoja na Guinea na zimepanga kuhakikisha zinatokomeza ugonjwa huo ifikapo.

.
Serikali na taasisi mbalimbali zimetoa msaada wa chakula kwa watu wenye mahitaji.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

You Might Also Like

Tazama ilivyofanyika Ibada ya mazishi ya Mwalimu Kashasha (Video+)

Tanzia:Mfanyakazi wa Ayo TV afariki ajalini na Yusuph

VIDEO:Mkurugenzi kikaangoni mbele ya Waziri Mkuu ‘Unachuki na mkuu wa mkoa?’

Video:Yaliyojiri nchini Kenya kutafuta miili iliyozama na gari huko Mombasa

Ukitaka kumuaga RUGE MUTAHABA,unapaswa kufika eneo hili(+video)

Millard Ayo March 27, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Diamond kwenye headlines tena na video mpya, sasa hivi ni ft. Khadija Kopa kwenye hii taarabu ‘nasema nawe’
Next Article Unaikumbuka hii ya Baba Levo kuhusu mtoto wa Nay Wa Mitego? #FixZaBabaLEVO
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?