Habari za Mastaa

Leo ni siku ya kumfahamu aliyesimamia uandishi wa hit single ya ‘Loyal’ ya Chris Brown

on

Kati ya wasanii wakubwa kwenye Muziki wa R&B Marekani, huwezi kuacha kumtaja Chris Brown na hits zake nyingi tu ikiwemo ya Loyal ambayo leo ndio nimemjua aliyeisimamia kwenye uandishi kupitia Interview ya Hot97.

ty

Ty Dolla Sign anasema >>>> “Hit Songs ambazo nimeziandika zipo nyingi ila nitaizungumzia moja tu… Loyal ya Chris Brown,  kwanza niliandika hook ya verse ya kwanza nikampatia akabadilisha vitu vichache na kuongeza vitu alivyokuwa anavitaka kisha tukairekodi… badaae tukakutana tena akanisikilizisha beat nyingine ambayo alitaka tuitumie kama official beat ya wimbo huo na nikatunga verse ya pili na kamshauri amuweke Lil Wayne kwenye hiyo verse

Kweye sentensi ya pili Ty anasema >>> Mara ya kwanza nauandika ule wimbo sikufikiria kabisa kumpatia Chris Brown, nilikuwa nataka nimpe mshikaji wangu mmoja hivi kwahiyo nikamtafuta na kumpatia verse ya kwanza lakini nilimpa pia nafasi ya kuandika verse ya pili lakini kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo akashindwa kufanya hivyo na wimbo ukaishia kwa Chris Brown

loyal

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments