AyoTV

Video: Msanii wa bongofleva anasimulia mwenyewe alivyoitiwa Mwizi juzi kati Kinondoni usiku

on

Msanii wa bongofleva Edu Boy anasema kama sio Mungu basi leo zingekua zimeandikwa habari nyingine, ni baada ya kufananishwa na mmoja wa vijana kwenye kundi Wezi waliofanya uhalifu usiku huohuo maeneo ya Kinondoni Dar es salaam, kisa kizima kipo kwenye hii video hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments