AyoTV

video: “Hata tusiokuwa na PhD tunatakiwa kusikilizwa” – Aeshi

on

Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilaly alikuwa miongoni mwa Wabunge waliowasilisha mapendekezo yao katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo aliitaka Serikali kuacha kupuuzia baadhi ya michango ya watu ambao wanaonekana hawana elimu za juu ili kuwarahisishia kujua changamoto zilizopo mitaani.

Mambo matano ya Mbunge Agnes Marwa Bungeni leo June 19, 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments