Mix

Mahalia kaachia album mpya ‘Love and Compromise’ yenye nyimbo 13,Burna boy ndani

on

NI Headlines za mwimbaji Mahalia Burkmar mwenye umri wa miaka 21 ameingia kwenye orodha ya wasanii wachanga wanaokuja kwa kasi katika tasnia ya muziki.

Msanii huyo mwenye uraia wa Uingereza time hii amekuja na album yake mpya iitwayo Love and Compromise ambayo ina jumla ya nyimbo 13.

Walioshirikishwa kwenye album hiyo mpya ni Burna Boy kutoka Nigeria, Ella Mai na wakali wengineo,

HII NDIO REKODI INAYOFANYA VIZURI KWASASA ALIYOMSHIRIKISHA MSANII WA NIGERIA BURNA BOY

 

Soma na hizi

Tupia Comments