Mix

Mtangazaji Alex kutuonesha Rolls Royce ya mwaka 2035 inayojiendesha yenyewe

on

NI Headlines za mtangazaji maarufu aitwae Alex ambae kazi yake kubwa ni kutangaza ujio wa magari mapya yanayozalishwa duniani yakiwemo, BMW, Benz, Ferrari na mengineyo.

Umaarufu wake umemfanya makampuni mengi yamekuwa yakimtumia kutangaza ujio wa magari yao mapya na sasa time hii Mtangazaji huyo amefunga safari mpaka kunakozalisha magari aina ya Rolls Royce na baada ya kufika alipewa nafasi ya kurusha kipindi chake kikionesha ujio mpya wa Rolls Royce 103x ambayo itaingia rasmi soko mwaka 2035.

Hapa chini bonyeza play ujionee akielezea mwanzo mwisho Rolls Royce 103x ya mwaka 2035.

Tupia Comments