Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bongo kama Mamtoni, Wakazi wa Dar ujiachia kuanzia saa kumi na mbili Alfajiri “Hello Jua”, Haijawahi kutokea
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Bongo kama Mamtoni, Wakazi wa Dar ujiachia kuanzia saa kumi na mbili Alfajiri “Hello Jua”, Haijawahi kutokea
Entertainment

Bongo kama Mamtoni, Wakazi wa Dar ujiachia kuanzia saa kumi na mbili Alfajiri “Hello Jua”, Haijawahi kutokea

September 16, 2022
Share
4 Min Read
SHARE

Kama ulikuja Dar es Salaam miaka kumi iliyopita na ukirudi kwasasa basi lazima ukute mabadiliko makubwa yaliyofanywa katika Sekta mbalimbali kuanzia Barabara, Majengo na mengineyo.

Ukiacha uboreshwaji uliofanywa kwenye sekta mbalimbali kingine ambacho kimenivutia ambacho huenda utapendezwa nacho.

Ni kuwepo na eneo jipya la wazi liitwalo Wavuvi Kempu ambalo ukutanisha watu mbalimbali  wakiwemo mastaa kwaajili ya kuburudika huku kukiwa na upepo unaovuma pembezoni mwa Bahari ya Hindi.

Wavuvi  Kempu wanastahili pongezi na wameweza kuwa wa kitofauti na maeneo mengine ya Dar kwa huduma zao pamoja kwa ubunifu walioufanya wa kuanzisha Event iitwayo ‘Hello Jua’ ambayo ufanyika kwa mwezi mara mbili.

.Pichani: Maana halisi ya ‘Hello Jua’ pale jua linavyochomoza watu ulisubiria na kulishuhudia kisha burudani kuendelea

Najua utakuwa unajiuliza nini maana ya “Hello Jua”?

Nilipowauliza Wahusika waliniambia Hello Jua inaashiria kuchomoza kwa jua la Asubuhi ambapo Wakazi wa Dar  ufika eneo majira ya saa kumi na mbili alfajiri kulisubiria Jua linavyochomoza kutokea Mashariki mwa Bahari ya Hindi.

Eneo hilo linapatikana Oysterbay Dar es Salaam kwenye yale maeneo mapya yaliyotengwa kwaajili ya kufanyia biashara kama ukiwa unaelekea Coco Beach DSM.

Bata la Wavuvi Kempu unaweza ukalifananisha na Bata la Ibiza kwani watu ujiachia na kuburudika kwa nyimbo mbalimbali.

Na Septemba 17, 2022 Wavuvi Kempu wameutangazia umma kuwa kutakuwa na Event yao pendwa iitwayo ‘Hello Jua’ ambayo wengi uisubiria Event hiyo kwa hamu kushuhudia namna watu wanavyoburudika mida ya Asubuhi.

Kwa ubunifu huu mkubwa ulifanywa na Wavuvi Kempu basi nina kila sababu ya kuwapa nyota tano mabegani kwa kuipa heshima Dar es Salaam.

.
.Pichani ni Msanii Ommy Dimpoz akitoa burudani katika chimbo hilo jipya maarufu kama Wavuvi Kempu lililopo Oysterbay Dar es Salaam katika kusheherekea siku yake ya kuzaliwa
.Pichani: Msanii wa Hip Hop Young Lunya akitoa burudani katika eneo hilo jipya maarufu kama Wavuvi Kempu lililopo Oysterbay Dar es Salaam
.Pichani: Dj Joozey akiwa waburudisha wadau waliofika katika chimbo hilo la Wavuvi Kempu lililopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam
.
.
.
.

.Pichani: Warembo wakiwa na nyuso za furaha baada ya kulishuhudia Jua lililochomoza
.Pichani: Msanii Kutokea Bongo Flevani Juma Jux akiwa katika chimbo hilo jipya maarufu kama Wavuvi Kempu lililopo Oysterbay Dar es Salaam
.
.
.Pichani: Kushoto ni Kalito akiwa na msanii wa Nigeria ‘Patoranking’ katika chimbo hilo jipya maarufu kama Wavuvi Kempu lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam
.
.
.Pichani: Mkali kutokea Bongo Flevani Diamond Platnumz akiwa katika chimbo hilo jipya maarufu kama Wavuvi Kempu lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam
.Pichani: Mrembo Jack Cliff akiwa katika chimbo hilo jipya maarufu kama Wavuvi Kempu lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam
.Pichani: Kushoto ni Kalito wa Samaki Samaki akiwa na Mameneja wa Diamond Platnumz Sallam Sk & Babu Tale katika chimbo hilo jipya maarufu kama Wavuvi Kempu lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam

You Might Also Like

Boy Spyce, na ndoto ya kumuoa  mwanamuziki wa Marekani Billie Eilish

Watu maarufu akiwemo Davido,Bella Shmurda waungana kwenye maandamano ya kumkumbuka Mohbad

‘Uonevu ulinifanya nipoteze aina zote za kujichanganya na jamii’ – Kizz Daniel

VideoMPYA: Vinka & Phina wametuletea hii remix ya ‘Bailando’

Raia wa Nigeria waendelea kukusanyika Lagos baada ya kifo cha nyota wa Afrobeats

Edwin TZA September 16, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article “Hakuna samaki wanaohifadhiwa na maji ya maiti” Serikali
Next Article Mkali Wizkid ametuletea wimbo mpya uitwao ‘Bad to me’ unaweza ukasikiliza hapa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
Top Stories September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
Top Stories September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
Top Stories September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

September 22, 2023
Top Stories

UN yaitaka Iran kuachana na sheria mpya kuhusu hijab

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?