Duniani

Video ya ‘mbabe wa unga’ Mexico alivyonaswa na Polisi miezi 6 baada ya kutoboa Gereza..

on

Jamaa aliteka sana vichwa vya habari kubwa duniani, jina lake halisi ni Joaquin Guzman a.k.a ‘El Chapo‘ ni jamaa ambaye ana kesi za kujihusisha na dawa za kulevya, kajikuta mikononi mwa Polisi miezi sita baada ya kutoroka gerezani alikokuwa amefungwa.

El Chapo ambaye anatajwa kuwa na mtandao mkubwa wa kusafirisha dawa za kulevya na kuziingiza Marekani, amekamatwa akiwa nyumbani kwake Los Mochis, mji wa Sinaloa uliopo Mexico.

EL CHAPO II

Kwa Rais wa Mexico hii ni good news kwake… kapost katika ukurasa wake Twitter akisema >’Kazi imekamilika.. Amepatikana !!‘< Rais Enrique Pena Nieto.

EL CHAPO III

Hii hapa video yenye ripoti ya kukamatwa kwake mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments