Michezo

Kama ulimis El Clasico jana usiku – nimekuletea video ya mabao yote, hii hapa

on

Screen Shot 2014-03-24 at 1.04.02 AMReal Madrid jana usiku waliadhibiwa mabao 4-3 na FC Barcelona katika El Clasico ya pili msimu. Lionel Messi alifunga hat trick, na Iniesta alifunga lingine upande wa Barca, Cristiano Ronaldo na Karim Benzema walifunga mabao ya Madrid – unaweza kuyacheki mabao yote ya mchezo huo hapo chini……

Tupia Comments