Habari za Mastaa

Maneno ya Wema Sepetu kwa Carlinhos “nina hamu na mechi, tupate moja”

on

Kupitia ukurasa wa Instgram wa staa wa filamu Wema Sepetu amempost na kumpa ujumbe mzito mchezaji mpya wa timu Yanga Carlinhos Carmo10 kwa kumwambia wanachokitaka ni ubingwa tu, kisha ndiyo wataanza kuongea lugha moja.

Tunachotaka sisi mpate ubingwa tena mara saba alafu ndo tuanze kuongea lugha moja, na zitabaki saba hivyo hivyo maana ubingwa ni wetu round hii karibu sana, halafu nasikia harufu ya mechi mechi hivi karibuni au ni mimi tu, nataka tupate mechi moja bwana, au unasemaje Engineer Makini Wema Sepetu

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments