Top Stories

Endesha Toyota RAV4 katika msimu huu mpya na betPawa

on

BetPawa inatoa nafasi kwa wateja wote kuanza msimu mpya wa Ligi kuu ya  Uingereza wakiwa na gari mpya

Mtanzania mmoja atabahatika kujishindia Toyota RAV4 mpya kabisa. Watano watajishindia PS5 na CD ya Fifa 21, na wawili watapata shilingi laki 5 kila mmoja kwa ajili ya shopping Shoppers supermarket.

Tumia nafasi yako kushinda kikubwa ZAIDI, bashiri mechi yoyote ya ligi kuu Uingereza kupitia betPawa na uingie katika droo.

Una nafasi hadi Jumapili ya tarehe 29 Agosti kushiriki na washindi 8 watapatikana katika droo siku ya Jumatatu tarehe 30 Agosti

Wataalikwa Dar es Salaam katika shindano la upigaji penalti mwezi Septemba. Mshindi ataondoka na Toyota RAV4, na hakuna mtu ataondoka bila zawadi.

Je utakua mshindi? Unaweza kushiriki kwa kubashiri kwa kiwango kidogo cha TSh 1 na ukapata machaguo mengi tofauti.  Je utaweka bashiri kwa team pendwa kama Man Utd, au utacheza kupata win bonus ya 500% kutoka betPawa kwa kuchagua  mechi 45?

Tukutane sheli na betPawa!

Bonyeza hapa ili kuingia katika gawio.

Cheza kiasi. 18+. betPawa imesajiliwa chini ya bodi ya michezo ya kubashiri ya Tanzania. Leseni #SBI000000026.

Soma na hizi

Tupia Comments