Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Eng. Hersi Rais ajaye Yanga SC ndio mgombea pekee
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Eng. Hersi Rais ajaye Yanga SC ndio mgombea pekee
Sports

Eng. Hersi Rais ajaye Yanga SC ndio mgombea pekee

June 11, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Kamati ya Uchaguzi Yanga SC leo imetaja list ya wagombea waliopitishwa kugombea nafasi mbalimbali katika Uongozi wa Yanga SC.

Eng. Hersi Ally Said anapita na kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais wa club ya Yanga SC wakati nafasi ya makamu wa Rais yakipita majina mawili ya Arafat Haji anayetambiliwa kuwa Makamu wa Rais ajaye Yanga na Suma Mwaitenda.

Arafat Haji na Hersi Said.

Hata hivyo katika nafasi ya ujumbe wa kamati ya Utendaji ambapo kwa mujibu wa katiba ya Yanga itakuwa na wajumbe watano yamepitishwa majina 22 kati ya 27 likiwemo jina la Mbunge wa Manonga Seif Khamisi Gulamali.

Majina matano yaliokatwa kwa kigezo cha kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo vya kikatiba ni pamoja na Ayubu Shaibu Nyenzi, Sindilo Lyimo, Mustapha Salumu Himba, Kara Remtullah na Tobias Bosco Lingalangala.

You Might Also Like

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

Gianni Infantino achaguliwa tena kuwa Rais FIFA.

FIFA : Uwanja wa michezo wa Pele mjini Kigali wazinduliwa rasmi.

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA June 11, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Zari amwaga machozi baada ya kufanyiwa hili na shabiki yake (video+)
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 12, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?