Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Eng. Hersi Said arudisha fomu ya Urais Yanga
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Eng. Hersi Said arudisha fomu ya Urais Yanga
Sports

Eng. Hersi Said arudisha fomu ya Urais Yanga

June 9, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya usajili Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, Eng. Hersi Said amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa club ya Yanga SC katika Uchaguzi utakaofanyika July 10 2022.

Fomu za kugombea nafasi hiyo zimerejeshwa leo kwa Eng. Hersi Said kuwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela na Mzee Msumi ambao tayari wameweka wazi wanamuunga mkono Hersi Said katika Uchaguzi huo, Mwakalebela ameaga rasmi na kusema hatogombea nafasi yoyote Yanga.

“Kwa kifupi niseme kwamba dhamira Yanga haikuwa kuchukua fomu msimu huu na nimekuja hapa kwanza kuwaaga rasmi kwamba sitagombea na pili hatuwezi kuwaacha wana-Yanga kama watoto yatima ndio maana nimekuja kuunga mkono za Eng. Hersi Said kugombea nafasi ya Urais Yanga SC”>>> Fredrick Mwakalebela

Nafasi za Uongozi zitakazogombaniwa Yanga ni nafasi saba ambazo ni Rais, Makamu pamoja na nafasi tano za wajumbe.

You Might Also Like

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

Gianni Infantino achaguliwa tena kuwa Rais FIFA.

FIFA : Uwanja wa michezo wa Pele mjini Kigali wazinduliwa rasmi.

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA June 9, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mzee aongea mbele ya DC ‘Nimecheleweshwa kufa, nitakufa endapo litafanyika hili’ (video+)
Next Article Bilioni 7 zatolewa na WFP, wakulima elfu 24 wawezeshwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?